PICHA NA VIPANDE VIDOGO VYA VIDEOS VIKIONYESHA EVENT ILIVYOFANYIKA YA JINSI YA KUUTANGAZA MUZIKI WETU KWENYE MTANDAO ILIYOFANYIKA KATIKA JENGO LA SAYANSI MAKUMBUSHO JIJINI DAR ES SALAAM
Mambo yalianza hivi kwa settings za Video Cameras HD za kisasa tayari kwa kuanza Event Yetu...
Pia kulikuwa na wawakilishi mbalimbali kutoka chama cha Music wa Dance Tanzania Wakiongozwa na Mzee King KIKI kama wanavyonyeshwa kwenye Picha Hapo juu....

Huyu Ndo Mwalimu wa Somo La Semina na Mwanzilishi wa Shirika lililoongoza Event hii (Tanzania Heritage Project) Ngd. Benson Rukantabula akisaidiwa na Rebecca Lorey kwenye  picha chini kulia...









Somo lilinogea watu kinoma mpaka na Watasha wetu wasiojua kiswahili sanifu walijikuta wakizama katika mafunzo kama wanaelewa vile....



Huyu ndo alifanya watu wajikute wakiingia katika hisia nyingine tofauti na wengine kulia kabisa kwa jinsi alivyoelezea serikali na vyombo vya habari zinavyowafanyia kutokana na kutoelimishwa juu ya HATI MILIKI (Copyright) za wasanii na kazi zao ngumu wanazozifanya.... Kwa kweli inauma sana...


Hapa mimi mwenyewe ilibidi nikabidhi Camera kwa Mtu mwingine nianze kazi ya kuandika kipi cha kuwafikishia kwa kupitia Mtandao kwa Jinsi walivyojieleza kwa uchungu wanavyoibiwa na kudhulumiwa kazi zao....
Huyu ndo alikuwa Top wangu ktk mambo yote ya Photos Videos na pia ni best yangu alikuja kwa nia ya kusaidia muziki wetu na kuahidi kututafutia website ya kuutangaza Muziki wa Tanzania kujulikana Dunia Nzima akiwa na Mzee King KIKI kwenye Pozi....

Baada ya Event sasa wale wa Soda za Kopo, Sambusa, Maji, Biskut na hata Kijoti Kazi ni kwenu Bhaaaaaaaaaass....

Mzee unanyonya Kijoti Kabisa? Ahahahahaha mbona sisi tunanyonywa acha na sisi tuvinyonye Bwana ni Jibu lililotoka kwa M/Kiti wa Chama cha Muziki Tanzania...... Basi sawa Sisi Hatuna tatizo na mtu.....

Pia Warembo Hawakukosekana kama kawaida 

Baada ya Shughuli nzito Back to the Office Now Kufanya Kazi na Vinywaji kidogo kupooza koo Du! Too Tired..... Now Start Upload....



Eeh Nisaidie Kidogo Ndugu yangu nimeshindwa Kufanya Mwenyewe Too Hard Man.... Kijana kazi ikaanza,........!!!!!!!!!
Tired Man lets Get Some Coffee I cant Without it nahisi kushindwa Kabisa...........!!!!!!!!!!!!!! Kama Vp Bro njoo 2pate..!!!!!
Usinitanie leta Kikombe aisee mambo yamekuwa Magumu kupita kiasi I cant survive drinks zote dissolved!!!
Kuna Maji kidogo kwenye Friji tunaweza kupata mshikaji wangu ukimaliza kahawa..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kukaa nimechoka Bora Nibadili Mkao......!!!!!!! Hahahahahhahahahaahhhhhaaa
Kama Vp tuondoke tutamalizia Kesho Bwana...........................!! hata mimi siwezi tena!!!!!!

Twende Zetu tukalale Bwanaaaaa .....................!!!!!!!!!!!!!!

















Seminar on Tanzanian music online by Tanzania Heritage Project this Sunday Visit For More.... The Tanzania Heritage Project is working to restore, digitize, preserve and promote Tanzanian music which is in the radio Tanzania (now TBC) archives. We will organize a seminar about promoting Tanzanian music online this Sunday. Other details of the seminar is as shown below: Tanzania Heritage ProjectTopic: Promotion of Tanzanian music online Speakers: Rebecca Corey & Tyler Webb (USA), Benson Rukantabula (Tanzania) Duration: 3hours, from 1pm – 4pm Date/Day: Sunday, 26th August, 2012 Location: Innovation Space at COSTECH The seminar is open for everyone, but please RSVP to info@tanzaniaheritageproject.org so the organizers know how many people to expect. Benson Rukantabula Co-founder, Tanzania Heritage Project PS. The Tanzania Heritage Project is one of the four successful Tanzanian projects in Kickstarter, having achieved its funding goal via this crowdsourced funding platform. Fantastic achievement! Definitely worth checking out!
Lile duka la kijanja linalouza nguo za kijanja nazungumzia ROBBY ONE FASHION limeshusha mzigo, sasa kuwa mjanja kwa kuwahi vitu vizuri kama viatu, mashati ya kijanja, jeans za jinsia zote, perfume za ukweli, Duka lipo Kinondoni Studio kona ya kuelekea Mwananyamala. Wasiliana nasi Kwa simu namba +255 719 500333 Like our Page on Facebook Or Follow us on Twitter